Da'wah Kiulimwengu -Jumla Wanaharakati wa Hizb ut-tahrir nchini Kenya wagawanya toleo juu ya mkataba wa khiyana wa amani baina ya Imarati,Bahrain na Israili katika miji tofauti ikiwemo mji wa Mombasa na jiji la Nairobi. September 19, 2020 Views: 19 Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu