Dawah Kenya -Kampeni
Fungueni misikiti
Katika kampeni inayoendelea ya kutaka misikiti ifunguliwe,Hizb ut-tahrir Kenya imefanya visimamo hapo 19/6/2020 maeneo kadhaa ndani ya mji wa Kisauni-Mombasa ikisisitiza kwamba misikiti ifunguliwe bila ya masharti na tahadhari ziwachiwe wenyewe waislamu kusimamia Hizb ut-tahrir Kenya yatembelea afisi kadhaa za serikali ikiwemo afisi ya Chifu,MCA,Mbunge na za viongozi wa misikiti […]