Habari na Maoni

Habari na Maoni

Na Wakikutana na nyinyi wanakuwa maadui zenu; na wanakukunjulieni mikono yao (kukudhuruni) na ndimi zao kwa uovu.

Habari: Katika hatua za kuzuia msambao wa maradhi ya Covid 19, jeshi la polisi huko Afrika Kusini siku ya Jumamosi tarehe 26 Aprili, ilivamia chumba ambacho ndani yake kulikuwa na Waislamu 20 wakiswali na kuwaamuru kulala chini. Picha za video zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii na kuthibitishwa na wakuu serakalini […]