Jumla

Jumla

MSIMAMO WA KIISLAMU JUU YA RIPOTI YA BBI

بسم الله الرحمن الرحيم Mnamo Jumatano, 27 Novemba 2019, Wakenya walishuhudia uzinduzi rasmi wa ripoti ya BBI kutoka kwa Rais Uhuru Kenyatta ndani ya Bomas huko Nairobi. Tukio hilo lilikuwa ni kilele cha mkono wa kheri baina ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga mnamo 9 Machi 2018 uliofanyika Harambee […]