Dawah Kenya -Kampeni

Picketting iliofanyika baada ya Swala ya Juma’h masjid saada kisumu ndogo Malindi kuwakumbusha ummah juu ya tukio kubwa la kihistoria-Kugura kwa Mtume s.a.w(Hijra) Akh Amar Bakhshwein Alitoa kalimah fupi kukumbusha umma tukio la Hijra na kuingia mwaka Mpya 1442 H

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu